ooze

n matope, kinamasi. vt,vi vuja, tona, chirizika their courage ~d away uhodari wao ulitoweka kama maji yalivyotiririka. oozy adj 1 -a matope, -a kinamasi. 2 majimaji.