onion

n 1 kitunguu spring, green ~ kitunguu kibichi. 2 (sl) kichwa. be off one's ~ -wa na kichaa. know one's ~s (sl) fahamu kazi yako tokana na uzoefu/tajriba. ~-skin n ganda la kitunguu; karatasi nyepesi,nyembamba na ngumu sana.