one

adj 1 -moja ~ hundred, mia moja. 2 -a kwanza standard ~ darasa la kwanza book ~ kitabu cha kwanza chapter ~, sura ya kwanza. 3 -moja (fulani) ~ day siku moja fulani, siku moja. 4 sawa they all did it in ~ style wote walifanya mtindo sawa/mmoja. be at ~ (with somebody) -wa na mawazo sawa. It's all ~ (to somebody) -ote sawa, ni mamoja. become ~; be made ~ ungana; oana. 5 (phrases) ~ and all kila mtu. all in ~ (ote) kwa pamoja. ~ or two chache. by ~s and twos mmojammoja people began to leave the meeting in ones and twos watu walianza kuondoka mkutanoni mmojammoja. ~ up (on somebody) -wa na nafuu (zaidi ya mwingine), zidi. number ~ (colloq) (mtu) mwenyewe. he's always thinking of number ~ daima anajifikiria mwenyewe tu indef pron 1 kitu kimoja; mojawapo the big book and the little ~ kitabu kikubwa na kidogo which ~ do you like ni kipi unachokitaka? pick me out some good ~s nichagulie nzuri ~ of my girls mmojawapo wa wasichana wangu; (colloq) -le: I want the red ~ nataka ile nyekundu. 2 person pron fulani. the little ~s watoto. the Holy O~ Mungu. 3 ~ another -an -a they hate ~ another wanachukiana. 4 impers pron mtu she is not ~ to give up easily yeye si mtu wa kukata tamaa kirahisi. 5 (compounds) one-armed adj -enye mkono mmoja. ~-armed bandit n (colloq) mashini ya kamari inayoendeshwa kwa sarafu. ~eyed adj chongo. one-horse adj -enye kuvutwa na farasi mmoja; (fig) -siokuwa na vitu vingi, duni. ~-idead adj -lio na wazo moja tu. one-man adj -enye kufanywa na mtu mmoja tu. one-sided adj -a upande mmoja; -a upendeleo. onetime adj -a zamani. ~track mind n -enye wazo moja tu. ~way street n njia moja (hairudi). oneself reflex pron mwenyewe one must do it ~self mtu lazima akifanye mwenyewe.