on

on

1 adv part 1 (to show progress, activity) come ~ fanyafanya; fanya haraka. work ~ endelea na kazi. and so ~ na kuendelea, na kadhalika. later ~ baadaye. ~ and ~ bila kukoma/kusita. 2 (to show places) kuwa juu ya; kuvaa your hat is not ~ straight hukuvaa sawa kofia. ~ to, prep juu ya. 3 (contrasted with off) the lights are ~ taa zinawaka; endelea kuwepo is water ~? maji yangalipo?, maji yako? 4 (combined with be and have in various meanings) what's ~? kuna nini? have you anything ~ tonight? unafanya chochote leo usiku? be ~ about something (colloq) endelea kuzungumzia/kulalamika juu ya jambo. be ~ at somebody (colloq) sumbua, kera, fuatafuata. be ~to somebody/something wasiliana na; jua juu ya be ~ to a criminal wa na habari juu ya mhalifu. be ~ to a good thing shikilia jambo jema, fanikiwa. 5 kwa kuelekea. head ~collision n kugongana uso kwa uso.

on

2 prep 1 juu ya, -ni put posters on the wall bandika mabango/picha ukutani suffer disaster ~ disaster pata makosi juu ya mkosi. 2 (indicating time) ~ Sunday Jumapili let's meet ~ 1st May Tukutane Mei Mosi ~ Fridays kila Ijumaa ~ arrival nitakapofika. ~ time kwa wakati unaotakiwa/ulioahidiwa. 3 (indicating direction) turn one's back ~ somebody tojali mtu, pa kisogo. 4 (indicating charge) put tax ~ cigarettes wekea sigara kodi. 5 (indicatinga proximity) karibu na a town ~ the coast mji karibu ya pwani. 6 kuhusu, juu ya a lecture ~ publications mhadhara juu ya machapisho be keen ~ the law jihusisha mno na sheria. 7 (indicating membership) she is ~ the commission yeye ni mjumbe wa tume. 8 (expressing the basis/reason for something) kwa a book based ~ facts kitabu tokana na matukio halisi. 9 (followed by n or adj) (indicating action, manner, state) ~ business kikazi ~ tour kitalii buy something ~ the cheap (colloq) nunua kwa bei rahisi be ~ fire ungua.