omen

n ndege, fali; (sign) ishara, dalili good ~ ndege njema, dalili ya bahati njema bad ~ ndege mbaya, kisirani of ill ~ -a ndege mbaya. vt onyesha dalili, -wa ishara ya. ominous adj -a ndege mbaya, -a kisirani; -a kuogofya. ominously adv.