olympic

adj -a Olimpiki: Olympic games michezo ya Olimpiki. Olympiad n kipindi cha miaka minne baina ya Michezo ya Olimpiki. Olympian adj (of manners etc) -zuri kabisa; -a kama Mungu n mmojawapo wa miungu ya Kigiriki.