old

adj 1 -enye umri wa how ~ are you? Una miaka mingapi/umri gani? 2 zee; kongwe. an ~ man n mzee, shaibu. an ~ woman n ajuza; (colloq) mke. ~age n uzee; ukongwe. ~ age pension n pensheni ya uzeeni. ~ and young watu wote, kila mmoja; (of things) -a zamani; kuukuu, liochakaa. 3 -a zamani; -a muda mrefu. in the ~ days zamani. the good ~ days nyakati njema za kale; zama za. ~ boy/girl n mwanafunzi wa zamani wa shule. one of the ~school mtu wa kale, anayeshikilia mambo ya zamani. ~ country n nchi ya zamani (mtu alikohama). the O~ World n Ulaya, Asia na Afrika. ~ soldier n askari wazamani/muda mrefu. ~ guard n mfuasi/shabiki wa zamani/muda mrefu. ~ offender n mhalifu wa muda mrefu. an ~ hand (at something) mtu mwenye ujuzi mwingi (kutokana na kufanya kazi fulani kwa muda mrefu). ~ fashioned adj -liopitwa na wakati, -a kale. ~ hat adj (colloq) -a kale ~ time world -a wakati uliopita. ~ timer n mtu wa siku nyingi;mtu aliyejihusisha na mahali/kitu (fulani) kwa muda mrefu. come the ~ soldier (over somebody) (colloq) dai kuwa na ujuzi mwingi kutokana na kufanya kazi muda mrefu. 4 (worn out) -kuukuu, -liochakaa. 5 (colloq) (used infront of names and addressing people) mzee listen ~ man sikiliza mzee. ~ Harry/ Nick/Scratch Shetani. the ~ man n baba; mume. the ~ woman mke. n 6 (used as intensifier) (sl) sana. a high ~ time wakati mzuri sana (hasa katika starehe). any ~ thing kitu chochote kiwacho. n zamani, kale. in days of ~ siku za zamani. the men of ~ watu wa kale. oldish adj -a zamanizamani; zeezee. olden adj (arch, liter) -a zamani, -a kale. in ~en days siku za kale. oldster n (colloq) (mtu) mzee.