n 1 mafuta palm-~ mawese cod-liver ~ mafuta ya samaki. 2 (phrases)burn the midnight ~ soma usiku. pour ~ on the flame(s) kasirisha zaidi; zidisha ugomvi. pour ~ on troubled waters fanya/sema/tuliza (kwa namna ambayo unamaliza ugomvi/hasira). smell of the midnight ~ onekana kwamba umekesha ukisoma. strike ~ pata mafuta (kwa kuchimba); fanikiwa; (fig) tajirika sana. (compounds)~ bearingadj (tabaka ya jabali) yenye madini ya mafuta. ~ burnern chombo kiendacho kwa mafuta. ~-caken mashudu. ~-cann kopo la kutilia mafuta. ~-clothn kitambaa kisichopenyeza maji. ~-coloursn rangi za mafuta. ~ fieldn eneo la visima vya mafuta. oil-firedn(of a furnace) -enye kutumia mafuta kuwaka. ~- palmn mchikichi. ~-papern karatasi ya mafuta. ~-rign mtambo/mashine ya kuchimbia mafuta. ~-silkn hariri mafuta. ~-skinn kitambaa cha mafuta (kisichopenyeza maji). ~-tankern meli ya mafuta. ~-welln kisima cha mafuta. vt lainisha kwa mafuta ~ the machine tia mafuta kwenye mashine (ili kuilainisha); (fig) fanya mambo yaende vizuri. ~ (more usugrease) somebody's palm -pa mrungura/ honga. oiledadj (usuwell-~ed) (sl) -liolewa kidogo. oilern 1 kopo la mafuta. 2 fundi mafuta. 3 meli ya mafuta. oilyadj 1 -enye mafuta. 2 laini. 3 janja. oilinessn also seeoleaginous.