often

adv 1 mara kwa mara, mara nyingi more ~ (usually) aghalabu, kwa kawaida, kwa desturi many times and ~ mara nyingi. 2 (in phrases) how ~? mara ngapi? as ~ as kila mara. as ~ as not;more ~ than not mara nyingi sana; mara kwa mara; aghalabu. every so ~ mara mojamoja. once too ~ mara moja zaidi; mara ya mwisho.