1adj 1 (of horses, vehicles) -a upande wa kulia the ~front wheel gurudumu la mbele upande wa kulia the ~ horse (of a pair) farasi aliye upande wa kulia. 2 -lio mbali zaidi. 3 -sio fanya kazi; -enye shughuli kidogo tu. ~ hours saa baada ya kazi maalum.
off
2adverbial particle 1 (distance) mbali the University is seven miles ~ Chuo Kikuu kiko umbali wa maili saba; (time) muda the general elections are not far ~ uchaguzi mkuu hauko mbali; (departure) kuondoka he's ~ ameondoka ~we go, tunaondoka take your hat ~! ondoa kofia yako hiyo!. 2 vunjika, tofanyika! the meeting is ~/broken~, mkutano umevunjika/umevunjwa the debate over language policy is ~ mjadala juu ya sera ya lugha hautafanyika. 3 katika the water/gas/electricity is ~ maji/gasi/umeme umekatika. 4 -a mapumziko the workers were given a day ~, wafanyakazi walipewa siku moja ya mapumziko. 5 (of food) -liochacha. 6 (in a theatre) -a nyuma au kando ya/pembeni mwa jukwaa. 7 (phrases)~ of; (US)~(prep). on and ~; ~ and on, mara chache he comes here on and ~ huja hapa mara chache. right/straight ~ mara moja.
off
3prep 1 toka, puuza fall ~ a tree anguka toka mtini the car rolled ~ the slope gari lilibingirika kwenye mteremko cut another piece ~ the material toa kipande kingine kwenye kitambaa cut ~ the price punguza bei. 2 (of a road or street) mchepuo, liochepuka. 3 nje kidogo a building ~ the swamp area jengo karibu na kinamasi an island ~ the coast kisiwa nje kidogo ya pwani. 4 (colloq) acha (tabia fulani) he is ~ drinking) ameacha tabia ya ulevi. offishadj(colloq) -liojitenga (na shughuli za wengine). off-licencen liseni ya kuuza vileo vya kuchukua na kunywea kwingine; stoo/duka (linalouza vileo). off-loadvt teremsha mizigo. ~-printn lopoo: nakala (ya makala iliyo chapishwa katika kitabu, jarida). off-handadv bila maandalio; bila kufikiri; kwa haraka, mara moja adj -sioandalia be ~-hand withsomebody -tomjali mtu sana. ~-handed(ly)adj,adv(of behaviour) -a kukatiza; bila kujali.
off
4pref(compounds)~-beatadj (colloq) si -a kawaida, tofauti. ~-dayn (colloq) siku mbaya.