off-shore

adj 1 -a bara. ~ shore wind n pepo za bara. 2 mbali kidogo na pwani (kwa baharini). 3 off-shore purchases n (US) bidhaa zinunuliwazo na Marekani kutoka nchi nyingine ili kutoa msaada kwa nchi nyingine.