odds

n (pl) 1 nafasi/uwezekano (wa kufaulu au kushindwa kufanya jambo) the ~are in our favour tuna nafasi nzuri ya ushindi. 2 kutokuwa sawa. make ~ even sawazisha mambo. 3 kutopatana. be at ~ (with somebody) (over/on something) bishana; gombana; zozana. 4 tofauti. it makes no ~ hakuna tofauti; haidhuru; mamoja. what's the ~? haidhuru. 5 ~ and ends n takataka; vikorokoro. 6 the ~ n (gambling) matumaini.