odd

adj 1 -moja (pasipo mwenzi wake); -moja au zaidi (katika seti/jozi). 2 (number) witiri ~ degree nyuzi witiri ~ number namba witiri ~ power vipeo witiri. 3 pamoja na -ingine a hundred ~ shilings shilingi mia moja na ushei. 4 -sio -a mara kwa mara, -a muda (mfupi), -sio -a kawaida at ~ times katika nyakati fulani ~ moments nyakati fulani ~ job kazi za pembeni. 5 (worthless) -a ovyo, hafifu. 6 (ridiculous) -a mzaha; -a kuchekesha; -a ajabu ~ man mtu wa ajabu. ~ man out mtu/kitu kilichobaki (baada ya vingine kuwa kwenye seti); (colloq) mtu aliyejitenga, aliye tofauti na wenzake wote how ~! ajabu! oddly adv kwa namna ya pekee. oddity n ugeni, ajabu, shani, kioja. oddments n 1 (pl) vikorokoro. 2 mabaki, masalia.