occupy

vt 1 twaa, shika, miliki, chukua. 2 ishi katika nyumba/miliki nyumba. 3 (use, give work to) chukua (muda), shughulisha, tumia. ~ somebody's mind shughulisha akili ya mtu. 4 -wa na, shika ~ an important post -wa na cheo kikubwa. occupant n 1 mkaaji, mwenyeji. 2 mmiliki, mmilikaji. occupancy n. occupation n 1 shughuli, kazi, biashara. 2 (taking possession) kutwaa, kumiliki. 3 kipindi/muhula wa kumiliki. occupational adj -a shughuli, -a kazi. occupier n.