occasion

n 1 nafasi, fursa, wasaa take this ~ to do something chukua fursa hii kufanya jambo fulani; (particular time) wakati maalum (kwa jambo fulani); wakati ufaao on the present ~ kwa wakati uliopo we have met on several ~s tumeonana mara nyingi. on ~ mara kwa mara; ikibidi. rise to the ~ onyesha uwezo unaohitajika. 2 haja; sababu if the ~ arises kama ikihitajika this is no ~ for laughter hakuna sababu ya kucheka. 3 tukio. vt sababisha. occasional adj 1 -a mara moja ~al showers rasharasha. 2 -a kufaa wakati fulani. occasionally adv mara chache.