obsolete

adj -siotumika siku hizi, -kongwe, -liopitwa, -siofaa (kwa neno) it is ~ imefutwa, haifai. obsolescent adj -siofaa kwa sasa; -liyopitwa na wakati. obsolescence n hali ya kitu kutofaa kutumiwa sasa, hali ya kupitwa na wakati.