observe

vt,vi 1 angalia kwa makini; chunguza; hoji. 2 fuata, shika kanuni; adhimisha (sherehe). 3 toa wazo. observer n 1 mwangalizi, mtazamaji; mchunguzi. 2 mfuata kanuni. observing adj -epesi kutambua. observingly adv. observable adj -a kuonekana; -a kutazamika. observably adv. observance n 1 kushika mila na desturi. 2 kanuni za dini, mila. observant adj 1 -epesi kutambua, -elekevu be observant of something angalia sana kitu fulani. 2 angalifu, chunguzi; sikivu, tiifu. observantly adv. observation n 1 kuangalia by personal observation kwa kutazama/ kuchunguza mwenyewe kwa macho. be under observation angaliwa. keep somebody under observation angalia mtu kwa makini. observation car n (in a train) gari la kuangalilia mandhari. observation post n kituo cha uchunguzi/ kuangalia maadui. 2 uelekevu wa kutambua a man of no observation mtu asiye na uelekevu. 3 (remark) wazo make an observation toa wazo. 4 (usu pl) (taarifa zilizokusanywa na kuhifadhiwa). observatory n mahali pa kuangalilia jua/mwezi/nyota.