oblivion

n hali ya kusahau/ kusahauliwa, kutokumbukwa kabisa buried in ~ sahauliwa kabisa. oblivious adj oblivious of -siotambua; sio na kumbukumbu be oblivious of what was happening siotambua lililokuwa likitendeka.