oblique

adj 1 -a mshazari, -a kukingama ~ prism mche shazari ~ line mstari shazari. 2 -a kuzunguka; si wazi ~ reference to mtajo usio wazi. obliquely adv kwa kukingama. obliquity n 1 mshazari; mafyongo. 2 upotovu; ufidhuli.