object

n 1 kitu; jambo ~ lesson somo linalofundishwa kwa vielezo; tukio/ hadithi yenye funzo/onyo no ~ bila kizuizi money is no ~ fedha si kizuizi. 2 (aim, purpose) nia, kusudi, madhumuni my ~ is kusudi langu ni; nataka; ndiyo nitakayo. fail in one's ~ shindwa kutimiza kusudi. 3 (gram) shamirisho direct ~ yambwa indirect~ yambiwa. vt,vi 1 kataa, bisha, pinga. ~ to somebody bishia mtu, katalia mtu. 2 ~ (against somebody) that pinga, toa sababu kupinga/dhidi ya. ~or n mpinzani; mbishi. objectify vt 1 toa kielelezo ili kuthibitisha. 2 eleza waziwazi (kwa kuonyesha kitu hasa). objection n 1 katazo, kinzano, kipingamizi, kizuizi there is no ~ion hakuna kipingamizi raise ~ions toa vipingamizi/vizuizi. 2 (feeling of dislike) uchungu, chuki, kutopenda; take objection to something pinga jambo. objectionable adj -a kuchukiza. objectionably adv .objective adj 1 -a kuhusu jambo/kitu. 2 bila upendeleo my advice is quite ~ive shauri langu nimelitoa bila upendeleo. 3 (gram) -a shamirisho. n 1 (phil) halisi. 2 (mil) lengo, shabaha. objectivism n (phil) nadharia inayotazama mambo kama yalivyo. objectively adv. bila upendeleo. objectivity n kutopendelea.