n kiapo, kasama, yamini; (curse) laana, apizo. put on/under~ apisha. upon your ~! apia! exchange ~s apiana administer an ~ apisha commissioner for ~s kamishina wa viapo ~of allegiance kiapo cha utii take an ~ on the Koran apa yamini; kula yamini. swear on/take an ~ kula kiapo.