oar

n kasia; mpiga kasia. pull a good~ -wa mpiga makasia mzuri. put/shove/stick one's ~ in jidukiza, jiingiza. rest/lay on one's pumzika kwa muda (wakati wa kazi). chained to the ~s liolazimishwa kufanya kazi kwa bidii na kwa muda mrefu. oarlock n kishwara. ~sman/ ~swoman n mpiga kasia. oarsmanship n upigaji wa kasia. vi piga kasia.