n 1 kokwa; njugu; lozi. ground/ pea~n njugu nyasa, karanga; bambara. hard ~n njugumawe. coconutn nazi. a hard ~ to crack tatizo gumu, kitu/mtu ambaye vigumu kumshughulikia. nut-brownadj -enye rangi ya karanga iliyokaangwa. ~-buttern siagi ya karanga. nutcrackersn kitu cha kubanjia kokwa. nutshelln ganda, gamba la kokwa. (fig)(put something) in a ~shell (sema) kwa muhtasari, kwa ufupi. 2 (tech) nati. ~s and bolts mambo ya msingi na rahisi. 3 (sl) kichwa. off one's ~ wazimu. ~-housen hospitali ya vichaa. 4 (pl) vibonge vya makaa. vigo ~ting chuma kokwa. nutsadj(sl) kichaa. be ~s about/over somebody/something penda sana, shabikia. nuttyadj 1 -enye ladha ya karanga/njugu. 2 -enye njugu nyingi. 3 (sl) liopenda sana. 4 (sl) -enye wazimu. nuttinessn.