nursery

n 1 ~ (school) n shule ya watoto wadogo /vidudu/chekechea/awali. 2 chumba cha watoto. ~-rhyme n wimbo wa watoto. 3 bustani ya miche. ~-man n mtunza bustani ya miche. nurs(e)ling n 1 mtoto mchanga. 2 mmea mchanga.