nurse

n 1 muuguzi, nesi. 2 mlezi, yaya. ~ maid n yaya; (fig) mtunzaji wa wengine.wet ~ n mama wa kunyonyesha. 3 kulea put a child out to ~ peleka mtoto kwa mlezi. nurse-child n mtoto wa kupanga. vt 1 (of a baby) nyonyesha nursing mother mama anaye nyonyesha. 2 tunza; uguza magonjwa; ponyesha. ~ a cold shughulikia mafua. nursing home n hospitali ndogo ya binafsi. 3 angalia, tunza she ~d her beer all evening alitunza bia yake jioni (yaani isimalizike mapema). 4 (in the mind) weka, fikiri.