nuncio

n mjumbe au balozi wa Papa (Baba Mtakatifu). nunciature n ofisi ya mjumbe wa Papa.