number
n 1 hesabu; kiwango; idadi; watu kadhaa (written)~ of people tarakimu. his/your~ is up (colloq) ame/umepatikana; utakufa. in ~ kwa idadi, kwa jumla. to the ~of kufikia. without ~ sio na idadi, sio hesabika. times without ~ mara nyingi mno; kila mara. ~ plate n kipande cha namba ya gari. 2 namba. the ~ three n namba tatu. ~one n wahedi. look after/take care of~ one jiangalia, jitunza. negative ~ n namba hasi. nominal ~ n namba ya jina. 3 (of magazine, etc) toleo. back ~ n toleo la nyuma (fig) liopitwa na wakati. 4 (mus) onyesho, wimbo (katika mfululizo). 5 (gram) idadi. 6 (pl) wingi they defeated us by ~s walitushinda kwa wingi wao. in great ~ s tele, ingi. 7 (pl) (arithmetic) hesabu. vt,vi 1 tia hesabu/namba my days are ~ed sina siku nyingi za kuishi. 2 pata, fikia the people ~ed fifty watu walipata hamsini. 3 ~ somebody/something among hesabia. 4 (mil) ita, taja namba. numberless adj ingi, pasipo idadi, sio na namba, siohesabika.