nude

adj 1 tupu, lio uchi, bila kuvaa nguo. 2 (art) bila mapambo. n uchi. in the ~ uchi paint from the ~ chora picha ya mtu aliye uchi. nudist n mtu anayependa kukaa uchi, anayeamini kuwa kukaa uchi juani na katika upepo/hewa huleta afya bora. nudist camp/colony n mahali pa wanaopenda kukaa uchi juani. nudity n kukaa uchi.