now

adv 1 sasa, sasa hivi; mara moja. (every) ~ and then/again mara kwa mara ~ then ehe! sasa! ~then what's troubling you? ehe sasa nini kinakusumbua? just ~ sasa hivi. up to ~ mpaka sasa. by ~ hadi/mpaka sasa. nowadays adv siku hizi. nowaday adj -a siku hizi. 2 (conj) kwa kuwa ~ (that) you have mentioned it kwa kuwa umetaja. ~... ~ /then mara ... mara ~ hot ~ cold mara joto mara baridi.