nothing

n 1 hakuna kitu, si kitu there is ~ to be done hakuna lolote la kufanya he has five foot ~ ana futi tano kamili.2 (phrases) be ~ to tovutia, topendwa. come to ~ tofanikiwa. go for ~ tokuwa na maana all my work went for ~ kazi yangu ilikuwa bure. have ~ to do with tohusu it has ~to do with you haikuhusu, tohusika. make ~ of toelewa, toka kapa. mean ~ to tokuwa na maana kwa. to say ~ of sembuse. think ~ of chukulia (jambo) kuwa kawaida, tojali. think ~ of it usijali. for ~ bure, bila malipo; bila zawadi; bila lengo. ~ but tu. ~ for it but ila...tu there's ~ for it but to tunachoweza kufanya ni, hapana zaidi ya. N ~ doing! La hasha! nothingness n hali ya kutokuwepo kitu.