notch

n 1 mkato wa umbo la v; (US) njia nyembamba katika milima. 2 (of arrow) koleo. 3 (in upright poles for building) makwa. vt fanya mkato wa umbo la v. ~ up (colloq) pata, fanikiwa.