n 1 kaskazini. the ~n upande wa kaskazini, nchi za Kaskazini. 2 (attrib) -a kaskazini N~ Pole Ncha ya kaskazini ~ winds kaskazi. northeastn kaskazini mashariki. northwestn kaskazini magharibi. the N~-West Passagen njia ya baharini kutoka Atlantiki mpaka Pasifiki (kupitia Kaskazini ya Kanada na Alaska). north-eastern upepo kutoka kaskazini mashariki. north-easternadj -a kaskazini mashariki. north-eastwardadj (-a) kuelekea kaskazini mashariki. north-westernadj -a kaskazini magharibi. northerlyadj(of winds) -a kaskazini adv(of wind) kaskazini. ~ wardsadj -a kuelekea kaskazini. northernadj -a kaskazini. the ~ern lightsn miali ya kaskazini ya dunia. northernern mwenyeji/mkazi wa sehemu ya kaskazini mwa nchi. ~ ernmostadj -a kaskazini kabisa.