noose

n tanzi, kitanzi, shalaka, kishwara. put one's head in the ~ (fig) (jisababisha kukamatwa, jifunga mwenyewe. vt tega ~ a cord fanya kitanzi katika kamba.