nominate

vt ~ 1 somebody (for) pendekeza (jina la mtu kwa cheo/kazi, n.k.). 2 ~ somebody (to) teua. nominator n mpendekezaji. nomination n1 pendekezo nomination paper hati ya mapendekezo. 2 uteuzi. nominee n 1 mtu aliyependekezwa. 2 mteule/ mteuliwa.