nominal

adj 1 dogo ~ consideration malipo chembe~ rent kodi ndogo ~ value thamani ndogo; thamani iliyo-tajwa, thamani bayana. 2 -a jina tu; iliyotajwa ~ capital rasilimali iliyotajwa, rasilimali bayana ~ plaintiff mdai wa jina tu. 3 si halisi. 4 (gram) -a nomino. nominally adv kwa jina, kwa maneno tu. nominative n (gram) -a kiima.