nip

n 1 mminyo, mfinyo, mbinyo. 2 mkato. 3 pegi (ya kileo). vt,vi 1 minya, finya, binya, nyakua. 2 (of dog) uma. 3 (destroy) haribu.~ something in the bud haribu mwanzoni, zuia maendeleo. 4 (colloq) ~ in (of car) ingia; (of dress) punguza upana. ~ along enda upesi. ~ ping adj kali; baridi sana. nippy adj (colloq) 1 epesi. look ~ py fanya chapu chapu. 2 (GB) baridi sana.