nine

adj,n tisa a girl of ~ msichana wa miaka tisa. ~ days' wonder kitu kipya kivutiacho na kusahaulika mara. dressed up to the ~s liovaa kilimbwende, liovaa malidadi sana. ~ times out of ten mara nyingi, karibu kila mara. ninth adj,n sehemu ya tisa; -a tisa. the ninth hour dakika ya mwisho. ~ to five saa (za kawaida) za kazi. nineteen adv,n kumi na tisa. a boy of ~teen mvulana wa miaka 19. (talk) ~teen to dozen sema bila kunyamaza, bubujika. ~ teenth adj,n -a kumi na tisa; sehemu ya kumi na tisa. ninety adj,n tisini. ~ty times out of a hundred karibu kila mara. the ~ties miaka ya tisini. ~ fold adj,adv (-a) mara tisa.