nice

adj 1 -zuri, -a kupendeza; -ema, -enye hisani a ~ fellow! mtu mwema it was ~ of you nakushukuru kwa wema wako, ulifanya vema sana. 2 nyeti, -enye kuhitaji uangalifu. 3 (ironic) -gumu, -baya. 4 -a machagu. 5 -enye makini; -enye uangalifu. nicely adv 1 kwa vizuri; kwa wema. 2 (colloq) vizuri sana; sawa, barabara. niceness n. nicety n 1 usahihi. 2 (pl) niceties undani, mambo madogo madogo. to a ~ty barabara, sawasawa kabisa.