next

adj 1 ~ (to something/ somebody) -enye kufuata; kando their house is ~ to ours nyumba yao inafuata nyumba yetu the ~ best (thing) kitu kinachofuata kwa ubora ~ door nyumba ya pili. ~ door to (fig) inayokaribia. ~ but one -nayofuata baada ya. 2 (of time) wakati ujao ~ week wiki ijayo in the ~ few days siku chache zijazo the ~day kesho yake adv baada ya hapo; halafu what will you do ~? utafanya nini baada ya hapo come ~ fuata.