news

n pl 1 habari (za mambo yaliyotokea karibuni), taarifa. The N ~ n (on the radio) taarifa ya habari break the ~ toa habari (hasa ya msiba) ~ of death tanzia he is in the ~ habari zake zimechapishwa gazetini/zimetangazwa redioni. no ~ is good ~ (prov) ukisikia kimya jua ni shwari. newsagent n mwuuza magazeti. ~agency n shirika la habari. newscast n taarifa ya habari. newscaster n mtangazaji wa taarifa ya habari. ~-boy n mvulana mwuuza magazeti (kwa kuyatembeza mitaani). ~ letter n kijarida. newsmonger n mdakuzi, mmbea, mzushi. ~ paper n gazeti popular ~paper gazeti pendwa. ~ paper man n mwandishi wa magazeti/ habari. ~-print n karatasi za magazeti. newsreel n filamu ya taarifa ya habari. ~-room n 1 chumba cha habari (redioni n.k.). 2 chumba cha kusomea magazeti; maktaba. news-sheet n gazeti rahisi. ~-stand n kibanda cha kuuzia magazeti. ~ less adj sio na habari. newsy adj -enye michapo, -enye habari za mambo yaliyotokea.