new
adj 1 -pya nothing new hakuna (lolote) jipya. ~ moon n mwezi mwandamo. ~ Year n Mwaka Mpya. ~ Testament n Agano Jipya start/lead a ~ life anza maisha mapya. ~ World n Amerika ~ trial kusikilizwa upya. 2 (strange, novel) -geni she is ~ to me yeye ni mgeni kwangu. ~from kutoka juzijuzi a worker ~ from school mfanyakazi aliyetoka shuleni juzijuzi. 3 (modern) -a siku hizi, -a kisasa. a ~ fashion n mtindo wa kisasa adv karibuni. new-born adj -liozaliwa karibuni a ~ born baby mtoto aliyezaliwa karibuni. new-built adj -liojengwa karibuni, -pya. new-coined adj -lioanzishwa karibuni; liobuniwa karibuni ~-coined word neno jipya. newcomer n mgeni (asiye mwenyeji). ~ found adj -liopatikana hivi karibuni. new-laid adj (of an egg) -liotagwa karibuni. newly adv karibuni a ~ly married couple waliooana karibuni. ~ly-weds n maharusi.newness n.