neutral

adj 1 siosaidia upande wowote katika vita. 2 sio pendelea upande wowote. 3 sio na sifa zinazobainika I am ~ mimi simo a ~ person mtu asiyependelea upande wowote. 4 ~ gear n gia huru, sioinjikwa. neutrality n kutosaidia upande wowote katika vita declaration of ~ity tamko la kutokuwa upande wowote. neutralize vt 1 tangua, batilisha; zimua ~ize a poison zimua sumu.2 tokuwa upande wowote. neutralization n.