neurology

n nyurolojia; elimu ya neva. neurological adj -a nyurolojia. neurologist n mtaalam wa nyurolojia. neurosis n fadhaa, kuchanganyikiwa, jakamoyo. neurotic adj -enye fadhaa/ jakamoyo, -a kuathiri mfumo wa neva. n mtu mwenye fadhaa/ jakamoyo.