nest

n 1 kiota, tundu. foul one's own ~ jiaibisha, nyea kambi. ~ egg n akiba ya fedha (kwa matumizi ya baadaye). 2 mahali pa kupumzikia, starehe. 3 mkusanyiko wa vitu vya aina moja vinavyoingiliana (hasa kasha, meza n.k.). 4 (fig) maficho; kivuli a ~ of crime maficho ya majambazi. vi tengeneza/tumia kiota. go ~ing tafuta viota vya ndege (ili kuchukua mayai). nestle vt,vi 1 ~le (down) tulia, starehe, jituliza (mahali pa starehe/kupumzikia). 2 ~le up (against/to) jikumbatiza. 3 pakata, fumbata. nestling n kinda; (chicken) kifaranga.