nerve

n 1 neva. ~ cell n seli ya neva. ~ centre n fungu la seli neva; (fig) kuni. 2 (pl) wahaka, hali ya wasiwasi; msukosuko in a state of ~s katika hali ya wasiwasi. get on one's ~s sumbua, kera. war of ~s n vita vya kuumbuana/kuvunja moyo; jitihada za kumshinda mshindani kwa kumvunja moyo. nerve-racking adj -enye kutisha/ kuogofya sana; enye kusumbua (hasa kihisi) suffer from ~s wa na wahaka. 3 ujasiri, ushupavu a man of ~ mtu shupavu. have the ~ to do something wa na ujasiri; thubutu he had the ~ to call me a liar alithubutu kuniita mwongo have a ~ (colloq) thubutu lose/regain one's ~ogopa/pata moyo. 4 (old use) ukano. strain every ~ to do something jitahidi sana, fanya juu chini. 5 mbavu za kati za jani. vt ~ oneself for something/to do something jipa moyo; kusanya nguvu. nerveless adj 1 legevu, dhaifu. 2 -siotishika, tulivu. nervelessly adv. nervelessness n. nervous adj -1 -a neva nervous system mfumo w a neva a nervous breakdown fadhaa; kuchanganyikiwa, kuharibikiwa akili. 2 -enye wahaka, -oga. 3 (tense) -enye wasiwasi, liokacha. nervousness n wasiwasi,woga; kiherehere. nervy adj 1 (GB) (colloq) -enye wasiwasi/mfadhaiko. 2 (sl) -enye kudiriki, -enye ukavu wa macho, fidhuli.