neighbour

n jirani, mtu akaaye karibu. vt,vi ~ (on/upon) wa jirani, kuwa karibu. neighbourhood n ujirani; (watu waishio katika) eneo (linaloo-ngelewa) that thief is feared by the whole ~hood mwizi yule anaongopwa na watu wote wa eneo lile in the ~hood of upande wa, karibu ya. neighbourly adj -a ujirani mwema, karimu; -ema. neighbourliness n.