neglect

vt 1 totunza, toangalia, -tojali. 2 (slight) telekeza. ~ed child n mtoto aliyetelekezwa. 3 (do carelessly) zembea; puuza; purukusha I ~ed to do that nilipuuzia kufanya hivyo. n 1 kupuuza; uzembe; upurukushani. 2 hali ya kutotunzwa. neglectful adj -vivu, -zembe; sahaulifu. neglectfulness n uzembe, usahaulifu. negligence n uzembe, upurukushani. gross negligence n uzembe wa halin ya juu. negligent adj -zembe, -enye upurukushani be negligent of something zembea jambo. negligently adv. negligible adj -sio muhimu; dogo sana.