need

n 1 ~ (for) haja (ya). if ~ be ikiwa lazima, ikibidi. stand in ~ of hitaji there is no ~ for me to do this hakuna haja ya mimi kufanya hivi there is no ~ to hurry hakuna haja ya kuharakisha. 2 mahitaji my ~ s are few mahitaji yangu ni machache. 3 (poverty) umaskini, ufukara; ukata. a friend in ~ is a friend in deed (prov) akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki. vt,vi 1 hitaji, taka I ~ it nakihitaji. 2 lazimika, wa jambo la lazima he ~ not come si lazima aje you ~ not have spoken haikuwa lazima useme. needful adj. do the ~ ful fanya kinacho hitajika; toa pesa (inayohitajika). needfully adv. needless adj sio -a lazima, -a bure. ~less to say ni wazi kwamba, inajulikana kwamba. needlessly adv. ~s adv lazima, sharti, hakuna budi. N ~s must when the devil drives (prov) hali yatulazimisha. needy adj maskini.