neck

n 1 shingo. break one's ~ (fig) fanya kazi kwa bidii. breathe down somebody's ~ wa karibu sana na mtu, fuata nyuma, fuatafuata, ingilia mno shughuli za mtu. get it in the ~ (sl) umia sana, pata machungu; karipiwa sana. have the ~ thubutu. risk one's ~ jihatarisha. save one's ~ (infl) okoka kunyongwa; epuka adhabu/fedheha. stick one's ~ out jiweka hatarini, thubutu. win/lose by a ~ shinda/shindwa karibu sana. up to one's ~ in (fig) wa na shughuli nyingi. ~ and crop kabisa. neck and ~ bega kwa bega; sawa kwa sawa. ~ of the woods (esp. US sl) eneo/sehemu ya I don't know anyone in this ~ of the woods sifahamu mtu yeyote hapa. ~ or nothing kufa na kupona. 2 rasi ~ of land rasi . 3 (compounds) ~ band n ukosi. neckcloth n tai. neckerchief n leso. necklace n mkufu. ~ let n mkufu. ~ line n (women's clothes) mstari wa juu (wa nguo). necktie n tai. neckwear n (comm) tai n.k.. vi (sl) busanabusana.