necessary

adj -a lazima, -a faradhi, -a sharti, -a kujuzu it is ~ for me to go ni lazima niende more than ~ a lazima hasa as he deems ~ kama aonavyo ni lazima. necessaries n pl mahitaji muhimu ya lazima. necessarily adv. necessitate vt lazimisha, sababisha juzu misunderstandings often necessitate war kutoelewana mara nyingi husababisha vita. necessitous adj (formal) -a umaskini, -a ufukara. necessity n 1 haja, shida he was driven to steal by necessity shida ilimsababisha aibe. for use in case of necessity itumike wakati wa shida. be under the necessity of lazimishwa na. bow to necessity kubali wajibu. necessity is the mother of invention shida huzaa maarifa. of necessity kwa vyovyote, haiepukiki, lazima. make a virtue of necessity fanya jambo kwa moyo mkunjufu. 2 kitu cha lazima/muhimu food and drink are necessities chakula na kinywaji ni vitu vya lazima. necessities of life mahitaji muhimu ya lazima kwa kuishi. 3 hali ya ufukara in necessity katika hali ya ufukara. 4 (jambo la) lazima is it a necessity that you go to Tanga? ni lazima uende Tanga?